Mkufunzi akitoa maelezo ya jinsi ya kuanzisha Biashara kwa wafanya kazi wa Kibaha |
Mkufunzi Dominick Haule Akijibu Maswali ya Wafanyakazi wa Shirika la Elimu Kibaha wakati wa Mafunzo ya Ujasiriamali |
Mama Gowele anayefanya kazi Hospitali ya Tumbi Kibaha akiwaonesha matunda wakufunzi. Yalitoka shambani kwake |
Walimu wa Kibaha wakifuatilia mafunzo ya ujasiriamali yaliyokuwa yakitolewa na Decision Foundation |
Walimu wa Kibaha wakifuatilia Mafunzo ya Ujasiriamali |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni