Social Icons


Alhamisi, 26 Juni 2014

WALIMU WA SHULE ZA MSINGI IRINGA MJINI WAFANYA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

Baadhi ya walimu wa shule za msingi Iringa mjini wamehudhuria mafunzo ya ujasiriamali yaliyotolewa na Taasisi ya Decision Foundation. Walimu hao wamejifunza namna ya kuanzisha na kusimamia biashara, faida za utandawazi katika biashara na harakati za ukombozi wa Taifa la Tanzania. Walimu hao wameazimia kuanzisha umoja wa kibiashara ili waweze kujikomboa ki-uchumi.

Washiriki wa Mafunzo ya Ujasiriamali yaliyotolewa na Decision Foundation Iringa tarehe 25/26/2014

Walimu wakifuatilia mafunzo kwa ya ujasiriamali kwa umakini

Mwl. Meela, Sugara na Annet Ulaya wakifuatilia mafunzo kwa furaha

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 

IMADS

INSTITUTE OF MANAGEMENT AND DEVELOPMENT
STUDIES- IRINGA

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates