![]() |
| Wachimbaji wadogo wanye uwezo kiasi, wakiandaa mtambo tayari kwa kazi ya kutoa maji shimoni |
![]() |
| Ohooo! Asanteni Jamani. Sauti ya mchimbaji mdogo ilisikika kwa mbali |
![]() |
| Askari wa usalama akiwalinda majeruhi na kuhakikisha zoezi linafanyika kwa amani na utulivy |
![]() |
| Majeruhi akipelekwa sehemu ya huduma ya kwanza |
![]() |
| Mchimbaji mdogo anaeshindwa kulia, akijaribu kushukuru kwa shida huku akipumua kwa tabu |
![]() |
| Majeruhi akitolewa shimoni alimokaa siku nne |
![]() |
| Mwandishi wa makala haya akisaidia kusimamia kikamilifu uokoaji |
![]() |
| Mmoja ya walionusurika kufa mgodini akiwahishwa kwa huduma ya kwanza |










Hakuna maoni:
Chapisha Maoni