1. Alizeti
inastawi maeneo mengi Tanzania hususani maeneo yote yanakostawi mahindi. Baadhi ya mikoa inakostawi sana alizeti ni pamoja na Singida, Sumbawanga, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Mtwara, Tanga na Dodoma.
2. Alizeti
hupandwa mbegu punje moja moja
3. Mbegu
ya alizeti hupandwa kwa kuzamishwa ichi moja chini ya ardhi
4. Umbali
wa mbegu hadi mbegu ni futi moja au sentimeta 30, kwa mbegu za kawaida na futi mbili mbegu hadi
mbegu kwa mbegu zinazokuwa kubwa na kuzaa alizeti yenye mzingo mkubwa
5. Eka
moja huweza kupandwa kiasi cha kilo mbili za alizeti.
6. Eka
moja huweza kupandwa kati ya mbegu elfu kumi na tano (15,000) hadi mbegu elfu
ishirini na tano (25,000) kutegemeana na aina ya alizeti iliyopandwa.
7. Shamba
la alizeti huwa halifukuliwi chini sana kwani hulimwa hadi ichi 8 tu chini ya ardhi
8. Mbegu namba mbili (2) huwa ni kubwa
zaidi na mbegu namba tano (5) huwa ni ndogo zaidi. Ukubwa wa namba huwakilisha udogo wa mbegu.
9. Alizeti huweza kuchanganywa na mazao
mengine kama vile soya, mahindi, kunde nk
10. Ardhi iliyo hadi ni Ph 5.5 inafaa kwa
kilimo cha alizeti
11. Kuhusu mbolea wasiliana nasi lakini
Nitrogen hufaa zaidi na potasium.
12. Kuhusu mavuno kwa eka, bei ya alizeti,
kiasi cha mafuta kwa kila eka, kiasi cha mashudu kwa kila eka, kuhusu aina za
mashine za kukamulia alizeti na bei zake pamoja na gharama zote za kulima hadi
kuuza mafuta wasiliana nasi kupitia anuani ya hapo chini.
13. Tunaweza pia kuandika mchanganuo mzima
wa Biashara ya kilimo cha alizeti au biashara ya kukamua na kuuza mafuta ya
alizeti.
14.
Simu: +255 767 11 1173. Kwa Dominick
Mkuu kitengo cha Ujasiriamali (i'MADS) – Iringa.
habari naomba uniandikie andiko mradi la zao la alizeti
JibuFutaasante
Habari, nahitaji msaada wa kuandikiwa andiko la mradi wa kilimo Cha zao la Alizeti!
JibuFutaContact (jumannebakari31@gmail.com)
Naomba kuipata mchanganuo wa kilimo cha alizeti,pia bei ya machine ya kukamulia mafua ya alzet
JibuFutaSamahani nilikuwa nimebanwa sana. Sasahivi tunaweza wasiliana + 255 767111173
JibuFuta