Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana matatizo ya kiafya yanayowakabili wajasiriamali na watu wengi kwa ujumla. Katika kusoma soma vitabu na taarifa nyingi katika mtandao nimepata taarifa nzuri ambazo zitawasaidia vijana na wajasiriamali watakaoamua kuwekeza katika kilimo na uzalishaji wa mafuta ya ufuta ambayo yanaheshimika duniani kote. Makala hii imeandikwa kwa kuperuzi vitabu na mitandao na inaweza kuwa nzuri zaidi kama itatumiwa kwa kushirikisha madaktari na wataalam mbali mbali. Ifuatayo ni taarifa niliyoipata katika mitandao na chanzo cha taarifa hii imo kimewekwa hapo chini,
Sesame Oil Benefits/FAIDA ZA MAFUTA YA UFUTA
The health benefits of sesame
are amazing. In fact, this nutrient dense food is been used for over 5000
years. Many consider sesame oil a medicinal food and its use has grown in
popularity. As a matter of fact, sesame oil can provide benefits for your skin,
teeth and bones as well as other health benefits.
Maajabu ya kiafya ya mafuta
ya Ufuta yanashangaza. Mafuta ya ufuta yenye virutubisho muhimu yamekuwa
yakitumika tangu miaka 5000 iliyopita. Matumizi ya mafuta ya ufuta yamekuwa
yakiongezeka kwa kasi na umaarufu wake kuongezeka kwa kuwa wengi wanaamini kuwa
ni dawa kutokana na unafuu utokanao na maradhi mbali mbali. Kuna ukweli
uliothibitika kuwa, mafuta ya ufuta yanasaidia sana matatizo ya ngozi, meno, na
mifupa pamoja na kuwa na manufaa mengine mengi.
Nutritional Facts of Sesame Oil/Virutubisho vilivyomo katika mafuta ya
ufuta
Nutrients
|
Amount Per Ounce (28g)
|
Manganese
|
0.7 mg, 35% RDA
|
Copper
|
0.7 mg, 35% RDA
|
Calcium
|
277 mg, 28% RDA
|
Iron
|
4.1 mg, 23% RDA
|
Magnesium
|
99.7 mg, 25% RDA
|
Zinc
|
2 mg, 13% RDA
|
Fiber
|
3.9 g, 16% RDA
|
Thiamine
|
0.2 mg, 15% RDA
|
Vitamin B6
|
0.2 mg, 11% RDA
|
Phosphorus
|
179 mg, 18% RDA
|
Magnesium
|
4.1 mg, 20% RDA
|
Zinc
|
99.7 mg, 25% RDA
|
Tryptophan
|
2 mg, 13% RDA
|
Fiber
|
93 mg, amino acid
|
Protein
|
4.7g
|
Benefits of Sesame Oil
1. Beautiful and Healthy Skin
Collagen is the structural backbone of healthy
skin. The zinc in sesame seeds can boost collagen production, resulting in more
elastic and smooth appearing skin. Research also shows that zinc is beneficial
in the body’s repair processes and can soothe burns as well as other skin
conditions.
Mafuta ya ufuta ni muhimu kwa afya ya ngozi. Mafuta
ya ufuta yanasaidia pia kupunguza ngozi isiunguzwe na jua.
2. Oral Health
Sesame oil has been shown to reduce plaque and
whiten teeth. The technique of swishing sesame oil in the mouth, oil pulling,
boosts oral health by decreasing the harmful bacteria (Streptococcus mutants).
Mafuta ya ufuta yanatakatisha meno na kuua bacteria
mdomoni
3. Diabetes Prevention
Sesame oil has been shown to decrease both blood
pressure and glucose in patients with both diabetes and high blood pressure.
The magnesium and other nutrients in sesame seeds were shown by the American
Journal of Clinical Nutrition to improve the effectiveness of the oral diabetic
treating drug glibenclamide in type 2 diabetic patients.
Mafuta ya ufuta yanapunguza shinikizo la damu na
kuwasaidia wagonjwa wa kisukari
4. Reducing Blood Pressure
The rich magnesium content of sesame seeds have
been shown to lower blood pressure in hypertensive diabetics.
Mafuta ya ufuta yanasaidia kupunguza shinikizo la
damu kwa wagonjwa wa kisukari.
5. Heart Health
Heart disease is partially caused by free radicals
and oxidative stress. Sesame seeds contain sesamol, a potent antioxidant and
anti-inflammatory compound, known to be beneficial in battling heart disease
and atherosclerosis. Research has revealed that sesamol contains of two dozen
helpful pharmacologic properties.
Mafuta ya ufuta yanawasaidia pia wagonjwa wa moyo
6. Protection Against Radiation
We are all exposed to radiation whether we realize
it or not. UV rays hit us whenever we go outside and there exists a constant
level of background radiation wherever you live. Sesame seeds help our bodies
protect themselves from DNA damage due to radiation. Several studies on mice
exposed to radiation showed that those ingesting sesame seeds (sesamol) had
longer lives that those mice that didn’t consume sesamol.
Mafuta ya ufuta yanapunguza madhara ya mionzi
mibaya kutoka juani na yanasaidia kwa kulinda vinasaba {DNA} mwilini
visiharibike kirahisi
7. Cancer Prevention
Sesame seeds are believed to possess anti-cancer
properties. Research from the American Journal of Clinical Nutrition reported
that magnesium intake decreased the risk of colorectal cancer. Their data noted
that for every 100 mg intake of magnesium, the risk of colorectal cancer
decreased by approximately 12%.
Mafuta ya ufuta yanasaidia kama kinga kwa kiasi
Fulani kwa ugonjwa wa kansa
8. Bone Health
The high content of both zinc and calcium in sesame
seeds is a powerful tool to help combat osteoporosis. Deficiency of either of
this can increase the risk of hip and spine fractures. Fortunately, taking
sesame seeds can boost bone mineral density.
Mafuta ya ufuta yanasaidia kuongeza uimara wa
mifupa mwilini
9. Digestive Health
Fiber is a key dietary ingredient for proper
digestive health. Sesame seeds are loaded with fiber and vital for improving
and maintaining colon health.
Mafuta ya ufuta yanasaidia uyeyushaji wa chakula
kwa kiasi Fulani pamoja na kusaidia kulinda utumbo usipate maradhi kirahisi
10. Rheumatoid Arthritis Relief
The copper found in sesame seeds is important for
strengthening tissues such as blood vessels and joints. Those suffering from
rheumatoid arthritis can experience a decrease in pain and joint swelling due
to the anti-inflammatory effects of the copper contained in sesame seeds.
Mafuta ya ufuta yanaimarisha mishipa na misuli
mwilini. Hupunguza pia maumivu ya viongo vya mwili
11. Respiratory Health and Asthma Prevention
Magnesium is used to decrease the severe spasm in
bronchiole tubes by physicians worldwide. The rich magnesium content of sesame
seeds can be helpful for those suffering respiratory problems.
Mafuta ya ufuta
yanawasaidia pia wenye matatizo ya kupumua
12. Antiviral and Antibacterial
The power of sesame seed oil has the document for
centuries. In Ayurvedic medicine it has much significance and practitioners
believe that sesame seed oil has antibacterial and antifungal properties.
Holistic medicine practitioners use sesame seed oil to treat strep throat,
staphylococcus bacteria and also athlete’s foot. It’s important to note that
the FDA does not recommend sesame seed oil for medicinal purposes and that
clinical studies, at this point, are lacking.
13. Other Benefits
Ancient Chinese and Ayurvedic practitioners
utilized sesame oil to combat a variety of inflammatory, infectious and cancer
causing processes. Sesame oil is believed to relieve pain syndromes such as
tendonitis, bursitis, arthritis, colitis, irritable bowel syndrome and GERD. It
can also reduce stress, lower cholesterol and detoxify the body.
Tangu
enzi za mababu wachina wamekuwa wakitumia mafuta ya ufuta kama kinga kwa
maradhi mbali mbali.
Ni
vizuri kuwasiliana na madactari kuhusiana na makala hiyo hapo juu. Kwa ushauri
tu, mwandishi wa makala haya nimekuwa nikitumia mafuta ya ufuta kwa mwaka sasa.
Yamenisaidia sana kupunguza maumivu ya misuli kabla na baada ya mazoezi.
Maumivu ya misuli yanapungua nikitumia mafuta ya ufuta kwa kupaka vizuri kiasi
cha kutosha.
UKIHITAJI MAFUTA YA UFUTA, Wasiliana na:
Mobile: 255 767 11 1173.
Email:dominickhaule@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni