Social Icons


Jumatatu, 7 Aprili 2014

Nyanya aina ya Anna F 1 ni Bora

Nyanya aina ya Anna F 1
Nyanya aina ya Anna F 1 kama inavyoonekana shambani ikiwa imeiva. Miongoni mwa sifa ya nyanya hiyo ni kuwa, ikiivia shambani ina uwezo wa kukaa miezi mitatu bila kuoza. Hata itakapo chumwa au kuvunwa nyanya hiyo ina uwezo wa kukaa nje ya jokofu (fridge) miezi mitatu bila kuonza.
 
Nyanya hii ni nzuri sana kwa wajasiriamali hasa wa kilimo cha Green House kwani huwa inavunwa miezi nane mfululizo na mche mmoja una uwezo wa kutoa hadi kilo 20. Hii nyanya huwa haiuzwi kwa presha kwani bei ikiwa ndogo inatunzika na inaweza kuuzwa pole pole.
 
Mbegu zinapatikana kitengo cha ujasiriamali cha i'MADS (Institute of Management and Development Studies - Iringa}.

Maoni 3 :

  1. Naona hapa pametulia, ndicho kinachotakiwa kilimo cha kisasa. Endelea kutufunza maana inatutia nguvu wengi.

    JibuFuta
  2. sina maoni lakini napenda kutembelea huko mlipo nipate faida ya kilimo cha nyanya hata wiki tu . Naomba kujua bei ya mafunzo kwa wiki .
    Shkurani kwenu.

    JibuFuta
  3. Huku bongoland mnapatikana wapi.? Nahitaji hiyo mbegu, bei ni shs ngapi.?

    JibuFuta

 

IMADS

INSTITUTE OF MANAGEMENT AND DEVELOPMENT
STUDIES- IRINGA

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates