Social Icons


Jumamosi, 28 Desemba 2013

Mafunzo ya Ufugaji wa kuku kwa wanachama 'NHC SACCOS'


 
Mgeni Rasmi, Mkuu wa Kitengo cha Utawala akifungua mafunzo


Baadhi ya wanachama wakifuatilia mafunzo

Wanachama wa NHC SACCOS Walitembelea wafugaji wa kuku Kunduchi dar

Baadhi ya wanachama wakifuatilia mafunzo ya ujasiriamali
iMADS kilitoa mafunzo ya ufugaji bora wa kuku wa kienyeji, na kuku wa kisasa kwa wanachama wa NHC SACCOS. Ilisisitizwa ufugaji wa kuku ni lazima uanze na kuzingatia ujenzi wa banda la kisasa, ufuatiliaji kwa umakini wa vifaranga, utunzaji wa kuku, madawa ya kuku, maji, chakula cha kuku na utunzaji wa mahesabu katika ufugaji.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 

IMADS

INSTITUTE OF MANAGEMENT AND DEVELOPMENT
STUDIES- IRINGA

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates