Kutoka Kushoto: Ndugu Kolimba, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ludewa, Ndugu Juma Solomoni Madaha, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa na Mhe. Deo Filikunjombe Wakiwa Ufukweni Mwa Ziwa Nyanza, Nsungu, Manda. Mhe. Deo aliwaambia wananchi waendelee na shughuli zao kwani Mhe. Rais JK Atalimaliza tatizo la mpaka kwa Busara
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni